Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Duniani (MWL) Dkt. Abdullah bin Abdulmuhsin al-Turki ametoa wito kwa viongozi na wananchi wa nchi za Kiislamu kunufaika na msimu wa hija kwa kujadili masuala ya umma, kuunganisha Waislamu, kuunga mkono harakati za Kiislamu na kushirikiana katika kukabiliana na changamoto.