IQNA

Insaiklopidia ya matukio ya kidini kuzinduliwa Paris

15:02 - January 30, 2011
Habari ID: 2072562
Sherehe ya kuzinduliwa insaiklopidia ya maarifa ya matukio ya kidini itafanyika Jumatano tarehe 9 Februari mjini Paris Ufaransa.
Sherehe hiyo itafanyika katika Taasisi ya Sayansi za Kidini ya Ulaya (IESR).
Sherehe hiyo itahudhuriwa na wahadhari wa vyuo vikuu, wataalamu wa masuala ya kijamii na dini na wanafikra mbalimbali.
André Vauchez ambaye ni mtaalamu wa historia ya dini katika nchi za Magharibi ni miongoni mwa wasomi watakaohutubia sherehe hiyo. 738659

captcha