Kwa mujibu wa tovuti ya Saphirnews kikao hicho kimeandaliwa na taasisi ya Ulaya ya IESR iliyo na makao makuu yake mjini Paris, Ufaransa.
Tunaashiria hapa kuwa Muhammad Haddad mtaalamu wa masuala ya Kiislamu na mhadhiri katika vyuo vikuu vya Tunisia atakuwa mmoja wa watu watakaozungumza katika kikao hicho ambacho kimeandaliwa kwa ajili ya kuchunguza hali ya masomo ya kidini nchini humo. 757488