Kituo cha Bayyinah kimeripoti kuwa mafunzo ya lugha ya Kiarabu na misingi ya tafsiri ya Qur'ani yatatolewa katika masomo hayo yatakayosimamiwa na Jumuiya ya Bayyinah ya Marekani.
Mazsomo hayo yatatolewa kwa lengo la kutoa fursa ya kujifunza lugha ya Kiarabu na sayansi za Qur'ani kwa watu wa eneo hilo. Walimu na wataalamu wa tafsiri na lugha ya Kiarabu watashiriki katika kutoa mafunzo hayo. 762637