Kitabu hicho chenye kurasa 184 ni uchunguzi kuhusu vazi la hijabu katika ulimwengu wa leo na kina kurasa 10. Nakala 3000 zimechapishwa katika chapa yake ya kwanza.
Sehemu ya kitabu hicho imeandikwa kuwa, ‘kwa mtazamo wa kiutamaduni, vazi la hijabu ya mwanamke linaweza kuwa na nafasi muhimu katika jamii. Hijabu ni nemba ya utamaduni na thamani za jamii.
Historia ya Vazi la Hijabu, Hijabu katika Uislamu, Misingi ya Kidini kuhusu Hijabu, Aina za vazi la Hijabu n.k ni kati ya mada zilizojadiliwa katika kitabu hicho.
Katika miaka ya hivi karibuni vazi la hijabu limekabiliwa na changamoto kubwa katika dunia. Katika baadhi ya nchi za Magharibi, hijabu inahesabiwa kama tishio kubwa na nchi hizo zimeanzisha vita vikubwa dhidi ya vazi hilo la stara la mwanamke Muislamu.
765503