Kati ya mada zitakazojadiliwa katika kongamano hilo ni 'Vyombo vya Habari na Imam Mahdi AS', 'Nafasi ya Vyombo vya Habari Katika Kuandaa Mazingira ya Kudhihiri Imam Mahdi' na 'Mikakati ya Vyombo vya Habari katika Kuandaa Mazingira ya Kurejea Imam Mahdi'.
Mada zingine katika kongamano hilo zitakuwa ni pamoja na 'Nafasi ya Vyombo vya Habari katika kustawisha utamaduni wa Imam Mahdi', 'Uwezo na Vizingiti vya Vyombo vya Habari katika kaundaa mazingira ya kurejea Imam Mahdi'.
Kongamano hilo litafanyika Alhamisi na Ijumaa Julai 14-15 mjini Tehran.
825217