IQNA

Kikao cha kujadili Tiba ya Kiislamu katika maonyesho ya Qur'ani Tehran

14:56 - August 13, 2011
Habari ID: 2169823
Kikao kuhusu Tiba ya Kiislamu kimefanyika Ijumaa Agosti 12 katika Maonyesho ya 19 ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran.
Wataalamu kadhaa wa vyuo vikuu na vyuo vya kidini wameshiriki katika kikao hicho.
Mzungumzaji mkuu katika kikao hicho Reza Montazer ametoa hotuba kuhusu mitazamo mbalimbali ya tiba ya Kiislamu.
Kongamano hilo la Tiba ya Kiislamu limeandaliwa na Chuo Kikuu cha Sayansi cha Razavi.
841736
captcha