Katika hotuba yake kwenye sherehe za kufunga mashindano hayo Sheikh Hamdan Bin Mohammad amesema mashindano hayo yamewaathiri wengi katika Umoja wa Falme za Kiarabu na kote duniani.
Washindi katika mashindano hayo walikuwa were Khalid Mohammad Salem Al Qandoos wa Libya (1), Edrees Saeed Eisa wa Nigeria (2), Abdullah Ahmad Muallem Husain wa Somalia (3), Ahmad Reda Mahmoud Al Qasrawi wa Misri (4), Mohammad Adam wa Niger (5), Abdullah Hamad Salem Hamad Abu Shraideh wa Qatar (6), Saleh Ahmad wa Cameroon (7), Mo’ath Bin Ghazi Bin Murshed Al Tayeb wa Saudi Arabia (8), Mohammad Huraiz Shazwan Bin Mohammad Arfeen from Malaysia (9), na Mohammad Al Ameen Ahmad Ali wa Bangladesh nafasi ya 10.
847273