Maonyesho hayo yanafanyika kwa munasaba wa Mwezi Mtkufu wa Ramadhani katika mji wa Taswira na yameandaliwa na Jumuiya ya Kiutamaduni ya Quds ya Palestina kwa ushirikiano na manispaa ya mji huo.
Lengo la maonyesho hayo ni kuwasilisha kazi za sanaa za Waislamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Maonyesho hayo yanajumuisha picha za maeneo matakatifu Palestina na maandishi ya aya za Qur'ani.
847160