Miongoni mwa mafanikio hayo ni kuanzisha madrasa elfu 10 za Qur'ani na kuongozea idadi hiyo hadi 20 elfu kati ya Machi 2011-Machi 2012, kuweka mfumo wa teknolojia ya kisasa katika madrasa 30 elfu na kuanzisha mpango wa kuinua kiwango cha kiteknolojia cha shule zote nchini katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
Aidha Wizara ya Elimu imetenga karibu dola milioni 10 kuimarisha shughuli za Qur'ani mwaka huu. Vilevile wizara hiyo imesimamia uchapishaji wa anwani 83 za vitabu vya kufunza Qur'ani Tukufu.
Katika hatua zingine zilizochukuliwa ni ujenzi wa kumbi 20 za Sala mashuleni.
851998