Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel aliyekuwa anashikiliwa mateka na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas kwa kipindi cha miaka mitano amesema kuwa wanachama wa harakati hiyo waliamiliana naye kwa wema na vizuri katika kipindi chote alichokuwa mateka.