Hayo ni kwa mujibu wa mkuu wav chuo hicho Bw Abdul Majid Helmi ambaye alikuwa akizungumza katika kongamano lenye anwani ya ‘Tathmini ya Fikra Mpya kwa Vigezo vya Qur’ani’ lililofanyika chuoni hapo.
Amesema mkutano huo wa kimataifa wa Qur’ani Tukufu unalenga kusisitiza ukweli kuwa Qur’ani inauwezo wa kutatua na kujibu changamoto zote za mwanadamu.
899975