IQNA

Msikiti wa As Sahla wa Kufa, Iraq

13:06 - June 09, 2021
Habari ID: 3473992
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa As Sahla wa Kufa, kusini mwa Iraq ni msikiti mashuhuri uliojengwa karne ya nane Hijria Qamaria.

Msikiti huu uko katika Mji wa Kale wa Kufa, mashariki mwa mji mtakatifu wa Najaf yapata kilomita 10 kutoka Haram Takatifu ya Imam Ali (AS).

Msikiti wa As Sahla ulijengwa na kabila la Banu Zafar, ambalo lilikuwa kabila la Ansar.

Inasemakana kuwa eneo lililo msikiti huo ni sehemu ya Ibada ya Mitume kadhaa ambao ni  Ibrahim (AS), Idris (AS), Khizr (AS) na pia Maimami wa Kishia ambao ni Imam Sajjad (AS) NA Imam Sadiq (AS).

 

 

3976207

Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha