IQNA - Qari wa Iran Arash Souri alisoma aya ya 27-30 ya Surah Fajr alipokuwa amesimama karibu na Kaaba Tukufu, huko Makka, mwishoni mwa Mei 2024.
Hapa ni tarjuma ya aya hizo tukufu
Ewe nafsi iliyo tua! Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha. Basi ingia miongoni mwa waja wangu, Na ingia katika Pepo yangu.