IQNA

Jumuiya ya Qur'ani ya Iran yaandaa Khitma ya Shahidi Ismail Haniya

IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Ijumaa iliandaa hafla ya Khitma ya Shahidi Ismail Haniya, kiongozi wa kisiasa wa Hamas ambaye aliuawa katika hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel jijini Tehran hivi karibuni. Khitma hiyo iimefanyika katika Ukumbi wa Swala (Mosalla) wa Imam Khomeini (RA) mjini Tehran baada ya Swala za Maghribi na Ishaa,

Kishikizo: khitma ، ismail haniya ، shahidi
Habari zinazohusiana