IQNA-Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani yatafanyika katika jimbo la Menoufia, Misri, kwa kumbukumbu ya dada watatu wadogo wa Kimasri waliopoteza maisha katika ajali. Mashindano haya yamepangwa kufanyika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani (Februari–Machi, 2026).
Habari ID: 3481711 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/24
Muqawama
IQNA –Khitma kwa ajili ya Shahidi Sayyid Hashem Safieddine, mkuu wa Halmashauri Kuu ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ambaye aliuawa shahidi mapema mwezi huu, imefanyika Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479681 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Ijumaa iliandaa hafla ya Khitma ya Shahidi Ismail Haniya, kiongozi wa kisiasa wa Hamas ambaye aliuawa katika hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel jijini Tehran hivi karibuni. Khitma hiyo iimefanyika katika Ukumbi wa Swala (Mosalla) wa Imam Khomeini (RA) mjini Tehran baada ya Swala za Maghribi na Ishaa,
Habari ID: 3479254 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Qur’ani Tukufu imefanyika Tehran Jumanne kwa mnasaba wa kukaribia mwaka moja tokea alipouawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473507 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30