Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya aliyeshiriki Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amepongeza kujitokeza kwa wingi wananchi wapendao Qur'ani wa Iran katika ukimbu wa mshindano.
Majaji katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran wametangaza kuwa qarii mshiriki kutoka Tanzania amepata nafasi bora zaidi kwa mtazamo wa 'Saut na Lahn' katika usomaji wake wa Qur'ani Tukufu.
Mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema kuwaleta pamoja wanaharakati wa Qur'ani kutoka kila kona ya dunia ni nukta muhimu katika kuimarisha umoja wa Waislamu.
Tafsiri ya kwanza ya Qur’ani katika zama hizi nchini Algeria imechapishwa kwa anuani ya Ad Darul Thamin Fi Tafsir al Quran na imeandikwa na Allamah At-Tawati bin At-Tawati.
Kufuatia kuenea habari za kuwepo nakala za Qur'ani zenye makosa ya chapa nchini Misri, mahakama nchini humo imeamuru Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu izikusanye.