TEHRAN (IQNA). Sherehe za Mazazi ya Bibi Fatima Zahra SA hivi karibuni zimewaleta pamoja Waislamu na wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW katika katika Markaz Mafaatihul Jinaan, Kiguza,  Mkuranga , Pwani nchini Tanzania.
                Habari ID: 3471854               Tarehe ya kuchapishwa            : 2019/02/26