iqna

IQNA

IQNA-Mamia ya Waislamu wanahofiwa kuwa miongoni mwa watu zaidi ya 1,600 waliopoteza maisha katika tetemeko kubwa la ardhi lililotokea katikati ya Myanmar, wakati walipokuwa wakiswali misikitini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480470    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30

TEHRAN (IQNA) – Wakimbizi 300 Warohingya wamewasilia Indonesia mapema Jumatatu na kusema wamekuwa baharini kwa muda wa miezi saba.
Habari ID: 3473147    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07