iqna

IQNA

fakhirzadeh
TEHRAN (IQNA) - Familia ya mwanasayansi bingwa na mwenye kipawa cha juu katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh jana ilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3473591    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) - Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamelitaka Shirika la Atomiki la Iran kuzalisha urani iliyorutubishwa kwa zaidi ya asilimia 20 kwa ajili ya matumizi ya amani.
Habari ID: 3473412    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01

TEHRAN (IQNA)- Shughuli ya maziko ya mwili wa shahid Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran imefanyika leo Jumatatu kwa kuchungwa protokali zote za kiafya ili kujiepusha na maambukizi ya corona.
Habari ID: 3473407    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30

TEHRAN (IQNA)- Nchi na viongozi mbalimbali duninani wameendelea kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran na kusisitiza kuchukuliwa hatua waliohusika na jinai hiyo.
Habari ID: 3473405    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.
Habari ID: 3473403    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amelaani vikali hujuma hiyo ya kigaidi na kuongeza kuwa, kuna dalili nzito zinazoonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika mauaji ya Mohsen Fakhrizadeh ambaye alikuwa Mkuu wa Shirika la Utafiti na Ubunifu katika Wizara ya Ulinzi ya Iran.
Habari ID: 3473401    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28