iqna

IQNA

asili
Jinai za Kanisa
TEHRAN (IQNA)- Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Kanada (Canada) na kuomba msamaha kwa wenyeji asili a wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
Habari ID: 3475545    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27

Wenyeji asili wa Canada
TEHRAN (IQNA)- Wenyeji asili wa Canada wanasisitiza kuwa Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki anapaswa kuomba radhi kufuatia ugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki nchini humo.
Habari ID: 3474340    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25

TEHRAN (IQNA)- Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.
Habari ID: 3474047    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27