Qur’ani Tukufu Inasemaje/54
TEHRAN (IQNA) – Uwezo wa kuchagua ni sifa mojawapo ya binadamu. Kila chaguo litakuwa na matokeo yake na Qur'ani Tukufu inaangazia suala hili muhimu katika maisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3477137 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/12
“ Laylatul Qadri (Usiku wa Cheo Kitukufu) ni bora kuliko miezi elfu”. Hii aya ya 3 ya Surat Al-Qadr katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475158 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23