Fitina baina ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Kampuni iliyotengeneza filamu yenye utata na yenye kuibua mifarakano ya 'Lady of Heave'n au 'Mwanamke wa Mbinguni' imetangaza kuwa imesitisha uonyeshaji wa flamu hiyon chini Uingereza kufuatia maandamano na malalamiko ya watu wengi nchini humo
Habari ID: 3475351 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08