iqna

IQNA

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kushikamana na anasa za kidunia na tama ya utajiri kunaweza kuzingatiwa kuwa chanzo cha madhambi mengi na hata matatizo ya kisaikolojia.
Habari ID: 3475690    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/27

Tarehe 25 Shawwal miaka 1287 iliyopita Imam Jafar Sadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi. Alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul na kipindi chake cha Uimamu kilianza mwaka 114 Hijria.
Habari ID: 1441613    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/21