Jinai dhidi ya Waislamu
        
        Waziri wa Ulinzi wa Uholanzi Kajsa Ollongren amewaomba msamaha kwa Waislamu wa Bosnia na ameshiriki  katika ibada ya kumbukumbu ya 27 ya waathirika wa mauaji ya kimbari ya Srebrenica.
                Habari ID: 3475492               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/07/12