Mamia ya watu, wakiwemo Waislamu na wasio Waislamu wameandamana Marekani kupinga chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu au Islamophobia..
Habari ID: 3470470 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24
Watu wasiopungua 50 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa katika ufyatuaji wa risasi uliotokea katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Habari ID: 3470382 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13
Ofisa mwenye cheo cha meja katika jeshi la Marekani amekamatwa baada kujaribu kuwaua msikitini na kuwazika hapo katika jimbo la Carolina Kaskazini.
Habari ID: 3470377 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11
Waislamu nchini Marekani katika jimbo la New Mexico wametangaza kuimarisha harakati za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3470364 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07
Chuki dhidi ya Uislamu
Kundi la wanaume jimboni Texas nchini Marekani wanapata mafunzo maalumu kwa ajili ya kuwaua Waislamu huku wakitumbukiza risasi zao katika damu au mafuta ya nguruwe katika mazoezi hayo.
Habari ID: 3470345 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/29
Waislamu nchini Marekani wanakabiliana na wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia hata baada ya kuwa wamelaani vikali hujuma ya kigaidi mjini Brussels, Ubelgiji Jumanne hii.
Habari ID: 3470215 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/26
Wanawake Waislamu nchini Marekani wametakiwa kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa kutokana na kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3470195 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/14
Waislamu nchini Marekani
Waislamu nchini Marekani, wamesema kuwa maneno ya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu yanayotolewa na viongozi wa chama cha Republican, ndiyo sababu ya kuongezeka hujuma na mashambulizi dhidi ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470193 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/12