Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Balozi wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa indhari kuhusu kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475406 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) linataka Idara ya Upelelezi Marekani (FBI) ichunguze tukio la jinai la uteketezaji moto wa msikiti wa East Grand Forks huko Minnesota mapema mwezi huu.
Habari ID: 3475391 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18
Chuki dhidi ya Waislamu
TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ametekteza moto msikiti katika mji wa Rennes magharibi mwa Ufaransa na tayari mamlaka imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai hiyo.
Habari ID: 3475384 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16
Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Waislamu duniani.
Habari ID: 3475381 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) –Umoja wa Ulaya umetuhumiwa kuwa unapuuza chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3475378 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/15
TEHRAN (IQNA)- Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
Habari ID: 3475353 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/09
Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kinara wa vijana wa chama tawala cha utaifa wa Kihindu cha Bharatiya Janata (BJP) nchini India amekamatwa kutokana na matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu Waislamu kwenye mitandao ya kijamii, polisi walisema Jumatano.
Habari ID: 3475350 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Mgahawa huko Ufaransa haukumruhusu mwanamke Muislamu aliyevaa Hijabu kwa sababu ya vazi lake hilo la Kiislamu.
Habari ID: 3475331 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Pakistan mran Khan anasema ni muhimu kufanya kazi katika kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu kote ulimwenguni.
Habari ID: 3474974 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/25
TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Soka la Algeria limelaani shambulizi la kibaguzi la hivi majuzi dhidi ya mwanasoka Muislamu raia wa Algeria nchini Ufaransa.
Habari ID: 3474967 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko Texas Marekani unapanga 'Siku ya Wazi' ya kuwakaribisha wasiokuwa Waislamu ili kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3474882 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/02
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimepongeza uamuzi wa serikali ya Canada kutangaza siku maalumu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474879 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01
TEHRAN (IQNA)- Ripoti mpya inaonyesha kuwa kumekuwepo na ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia barani Ulaya.
Habari ID: 3474746 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/31
TEHRAN (IQNA)-e Baraza la Wawakilishi la katika Bunge la Congress nchini Marekani limepasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia licha ya kupingwa na wabunge wote wa chama cha Republican cha Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani mwenye chuki na uadui mkubwa na Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3474680 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16
TEHRAN (IQNA)-Ufaransa imeendeleza sera zake dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa kuanzisha mpango wa kufunga msikiti mmoja katika mji wa Beauvais kwa muda wa miezi sita kutokana na kile kilichodaiwa ni hotuba zenye misimamo mikali msikitini hapo.
Habari ID: 3474678 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15
TEHRAN (IQNA)- Makaburi ya Waislamu katika mji wa Mulhouse, mashariki mwa Ufaransa yamehujumiwa na watu wasiojulikana Jumapili jioni.
Habari ID: 3474673 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA) – Kitabu chenye anuani ya "Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia): Kabiliana Nayo kwa Jina la Amani" kimechapishwa kwa lugha ya Kiingereza nchini Ujerumani kwa ajili ya watoto.
Habari ID: 3474515 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04
TEHRAN (IQNA) – Uchunguzi mpya umebaini kuwa zaidi ya asilimia 67.5 ya Waislamu wanaoishi Marekani wamekumbana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu (Islampohobia) walau mara moja maishani.
Habari ID: 3474368 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amesema, kuna udharura wa kukabiliana na uenezaji chuki dhidi ya Uislamu kieneo na kimataifa.
Habari ID: 3474341 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25
Ripoti
TEHRAN (IQNA)- Kuenea chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Magharibi hivi sasa limegeuka na kuwa tatizo kubwa na la kijamii, tatizo ambalo limeibua na kushadidisha vitendo vya utumiaji mabavu katika jamii ya Magharibi.
Habari ID: 3474298 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15