iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekosolewa upya kwa kutochukua hatua za kutosha za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia katika chama chake cha Wahafidhina (Conservative).
Habari ID: 3471622    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10

TEHRAN (IQNA)- Watu wanaouchukua Uislamu na Waislamu wanauhujumi msikiti huko Scotland nchini Uingereza na kutupa vipande vya nyama ya nguruwe mlangoni.
Habari ID: 3471492    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/03

Bi. Sayeeda Hussain Warsi
TEHRAN (IQNA)-Baadhi ya vyombo vya habari vya Uingereza vina mtazamo hasi kuhusu Uislamu na Waislamu na hali hivi sasa ni mbaya zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2011, amesema mjumbe Muislamu katika Bunge la Malodi la Uingereza Bi. Sayeeda Hussain Warsi
Habari ID: 3471400    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/22

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa upinzani Uingereza Jeremy Corbyn ametembelea misikiti kadhaa siku ya Jumapili na kukosoa vikali chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471397    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/19

TEHRAN (IQNA)-Nchini Canada, binti Muslamu mwenye umri wa miaka 11 ameshambuliwa na Hijabu yake kuraruliwa wakati akiwa njiani kuelekea shuleni katika tukio la hujuma ya chuki dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471352    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/13

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) lina mpango wa kutoa mafunzo maalumu ya njia za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471351    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/12

TEHRAN (IQNA)-Tafrani iliibuka Ijumaa katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Ufaransa Paris, baada ya baadhi ya wakazi wa mji kujaribu kuwazuia Waislamu kuswali Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471258    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/11

TEHRAN (IQNA)-Vijana Wazungu Waingereza wenye misimamo ya kibaguzi na chuki dhidi ya Uislamu wanapata mafunzi ya kijeshi, televisheni ya ITV imefichua.
Habari ID: 3471254    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/08

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Marywood katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani kimepanga kuandaa ‘Siku ya Kuvaa Hijabu’ mnamo Novemba 15.
Habari ID: 3471253    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07

TEHRAN (IQNA)-Hujuma ya kigaidi hivi karibuni katika mji wa Las Vegas nchini Marekani imetajwa kuwa ufyatuaji risasi mbaya zaidi hadharini nchini na pia tukio hilo limeashiria kuwepo hisia mseto dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471208    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/08

TEHRAN (IQNA)-Mtu moja aliyemsikia mwanachama wa chama chenye chuki dhidi ya Uislamu akiwataka watu waisome Qur'ani kwa lengo la kuikosoa alifuata ushauri huo lakini kinyume na ilivyotarajiwa, alipata muongozo na kusilimu.
Habari ID: 3471204    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/04

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wamemdunga kisu na kumjeruhi daktari Muislamu katika mji wa Manchester nchini Uingereza.
Habari ID: 3471191    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/25

TEHRAN (IQNA)-Waislamu barani Ulaya wanahisi kuongezeka ubaguzi ambapo wawili kati ya watano (asilimia 40) wakisema wamekumbana na ubaguzi wakati wa kutafuta kazi, nyumba au huduma za umma kama vile elimu an matibabu.
Habari ID: 3471186    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/22

TEHRAN (IQNA)-Msikiti ambao ungali unajengwakusini mashariki mwa Uholanzi umeshambuliwa na watu wenye misimamo mikali ya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471155    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/03

TEHRAN (IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la chuki dhidi ya Waislamu Marekani kutokana na rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471074    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameushambulia na kuuharibu vibaya msikiti katika mji wa Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3471072    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/18

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuhujumu kwa mara nyingine msikiti katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Habari ID: 3471061    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/11

TEHRAN (IQNA)-Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Australia wanawalenga zaidi wanawake wenye kuvaa Hijabu, ripoti mpya imebaini.
Habari ID: 3471059    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/10

TEHRAN-(IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko la asilimia 1,000 la vitendo vya huki dhidi ya dini Tukufu ya Uislamu tokea Donald Trump achukue urasi wa Marekani Januari mwaka huu.
Habari ID: 3470956    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/28

IQNA-Moto umeteketeza Msikiti na Kituo Kiislamu cha Ypsilanti mjini Pittsfield, jimboni Michigan nchini Markeani
Habari ID: 3470893    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13