Uislamu nchini Ujerumani
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa utafiti, chuki dhidi ya wageni na chuki dhidi ya Waislamu imekuwa ikiongezeka kwa kasi mashariki mwa Ujerumani.
Habari ID: 3476064 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/10
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran amesema, vyombo vya habari vyenye uadui vinapindua ukweli na kuandaa habari bandia ili kujaribu kutoa taswira isiyo sahihi kuhusu Iran ya Kiislamu na Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475977 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/23
Waislamu Kanada
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Kanada (NCCM) limeashiria kisa cha hujuma dhidi ya msikiti wa eneo la Toronto kama ishara ya "kuongezeka kwa kutisha kwa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)".
Habari ID: 3475963 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN(IQNA0- Wanaharakati katika mitandao ya kijamii ya Ufaransa wamekemea vikali shambulio lililofanywa dhidi ya mwanafunzi wa Kiislamu aliyekuwa na vazi la staha la hijabu katika shule ya sekondari baada ya nakala ya Qur'ani Tukufu aliyokuwa nayo kuraruliwa na kisha akavuliwa vazii lake la Hijabu.
Habari ID: 3475944 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17
Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Msomi na mwanafikra wa Ufaransa amesema chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) haikomei kwa chama fulani bali ni sera ya serikali nchini Ufaransa.
Habari ID: 3475936 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/16
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN(IQNA)- Mitazamo hasi na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vimeongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475890 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Mashirika ya kiraia ya Kiislamu yameshutumu nchi za Ulaya kwa kukandamiza jamii za Kiislamu, na hivyo kuzusha hali ya wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa wimbi la chuki dhidi ya Uislamu inayofadhiliwa na serikali barani Ulaya.
Habari ID: 3475859 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/30
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia wa Iran amelaani uenezaji wa chuki dhidi ya Uislamu unaofanywa na baadhi ya nchi za Magharibi na vile vile ubaguzi wa aina yoyote dhidi ya madhehebu ya dini za waliowachache, hususan Waislamu.
Habari ID: 3475828 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika eneo la Edmonton nchini Kanada (Canada) wametoa ushuhuda wenye nguvu kwa maseneta wa Baraza la Seneti la Kanada kuhusu uzoefu wao na ubaguzi wa rangi na uhalifu unaochochewa na chuki katika mkutano wa hadhara mjini humo.
Habari ID: 3475762 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/10
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu huko Veldhoven kusini mwa Uholanzi kilishambuliwa mapema Jumamosi asubuhi katika kile kinachoonekana ni kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia.
Habari ID: 3475652 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Kupambana na Itikadi Kali ya Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar imesema imeashiria ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu nchini Ujerumani, na kusema hilo limeenda sambamba na kushadidi mashambulizi ya vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3475642 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Chuki dhidi ya Uislamu
Austria ni maarufu kwa usanifu majengo mzuri na sanaa, hata hivyo, cha kusikitisha ni kwamba, nchi hii sasa imejijengea sifa nyingine katika miaka ya hivi karibuni: ile ya kuongezeka kwa chuki dhidi ya Waislamu waliowachache.
Habari ID: 3475619 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14
Chuki dhidi ya Uislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) - Hatua za usalama zinatarajiwa kuimarishwa karibu na misikiti huko Houston Marekani baada ya wanaume wanne Waislamu kuuawa ndani ya siku 10 huko Albuquerque.
Habari ID: 3475600 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/09
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wengi wameuawa katika mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu nchini Canada (Kanada) kuliko nchi nyingine yoyote ya kundi la G-7 kati ya 2017-2021.
Habari ID: 3475591 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja huko Paterson, jimbo la New York Marekani, umelengwa na wahalifu wenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu mapema wiki hii.
Habari ID: 3475588 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/06
TEHRAN (IQNA) - Mwanadiplomasia wa Iran amesisitiza ulizamia wa kuwepo ushirikiano wa karibu kati ya nchi za Waislamu kukabiliana na matukio ya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia na kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu duniani.
Habari ID: 3475524 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/22
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waislamu nchini Uingereza wanataka waziri mkuu ajaye nchini humo akabiliane na chuki ya kimfumo dhidi ya Uislamu katika Chama cha Kihafidhina (Conservative).
Habari ID: 3475509 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/16
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Watu wawili walirusha kitu kinachofanana na bomu la molotov kwenye nembo kubwa ya hilali nje ya Msikiti wa Fatima al-Zahra huko Long Island, New York, Marekani siku chache kabla ya sherehe ya Kiislamu ya Idul Adha.
Habari ID: 3475498 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/13
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa Tehran ameungumzia utambulisho wa amani wa Ibada ya Hija na kusema nukta hii inapaswa kutumiwa kukabiliana na propaganda za chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia zinazoenezwa na baadhi ya vyombo habari vya Magharibi.
Habari ID: 3475484 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Uchunguzi mpya umebaini kuwa, karibu asilimia 50 ya misikiti yote nchini Uingereza imekumbana na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3475436 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/28