IQNA – Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Rashid bin Mohammed Al Maktoum huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) yalishuhudia ushiriki wa wanafunzi 1,104 wa kiume na wa kike kutoka shule 32.
Habari ID: 3480046 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya washiriki 500 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani yanayoandaliwa na Vituo vya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu vya Maktoum huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475941 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17