iqna

IQNA

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kuna kategoria tofauti za wanadamu katika jamii. Wakati mwingine, utu na tabia ya binadamu ni lengo kuu, na wakati mwingine hali yao ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, Uislamu unatilia maanani suala maalum kuhusu wanadamu .
Habari ID: 3476002    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29