Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Hujjatul Islam Hamid Shahriari wa Iran amemwalika Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar Misri Sheikh Ahmed al-Tayyib kutembelea Iran kwa ajili ya mazungumzo kuhusu umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3476081 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13