IQNA – Toleo la 33 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qurani Tukufu mjini Tehran linatarajiwa kuzinduliwa katika mji mkuu wa Iran tarehe 20 Februari 2026, kwa mujibu wa taarifa ya afisa mwandamizi.
Habari ID: 3481823 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/20
IQNA – Afisa na msomi mmoja wa masuala ya Qur’ani Tukufu nchini Iran amesisitiza umuhimu wa kutumia uwezo na nafasi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Tehran yanayokuja ili kulitambulisha neno la Wahyi kwa watu wa ulimwengu.
Habari ID: 3481800 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/14
IQNA – Kamati ya maandalizi ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu mjini Tehran imetoa mwito kwa umma kushiriki katika kuchagua kauli mbiu ya toleo la 33 la tukio hili kubwa la Qur’an.
Habari ID: 3481780 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/07
IQNA-Nahj al-Balagha, sambamba na Qur’ani Tukufu, litakuwa kiini cha Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran.
Habari ID: 3481706 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/23
IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Misri limeandaa maonyesho maalumu sambamba na Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika nchini humo.
Habari ID: 3481642 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/10
IQNA – Naibu wa Qur’ani na Etrat katika Wizara ya Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuandaliwa kwa Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu mjini Tehran, kwa ushiriki wa wadau wote wa Qur’ani na Etrat.
Habari ID: 3481497 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/10
IQNA – Maonyesho ya sanaa yenye maudhui ya Qur’ani yameandaliwa kando ya njia ya Ziyara ya Arbaeen ili kuonesha thamani za harakati ya Imam Hussein (AS) kupitia kazi za sanaa za kuona.
Habari ID: 3481066 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10
IQNA – Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran amesema kuwa Akili Mnemba (AI) ina uwezo wa kufanya mapinduzi katika shughuli za Qur’ani kote ulimwenguni.
Habari ID: 3480333 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09
IQNA – Toleo la 18 la Maonesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran yatafunguliwa katika mji huo mtukufu mnamo Machi 3.
Habari ID: 3480273 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalifikia tamati Jumanne usiku.
Habari ID: 3478626 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/03
Nasaha
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema Qur'ani Tukufu inaweza kujibu maswali yote ambayo wanadamu wanayo, akibainisha kuwa majibu haya yanaweza kupatikana kwa njia ya ijtihad.
Habari ID: 3478614 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.
Habari ID: 3478610 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kimefika ukingoni Alhamisi
Habari ID: 3478599 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Hafla itafanyika katika toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran kuwaenzi wanaharakati na watumishi kadhaa mashujaa wa Qur'ani na wengine wanaotumikia Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3478585 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ni fursa ya kujenga maingiliano na ushirikiano kati ya mataifa ya Kiislamu katika nyanja tofauti zikiwemo sanaa, tafsiri na usomaji, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478583 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kongamano la kujadili masomo ya Qur'ani nchini Russia au Urusi limefanyika kama sehemu ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
Habari ID: 3478571 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kazi tisini zilizochaguliwa za sanaa zinaonyeshwa katika sehemu ya sanaa ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3478566 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24
Diplomasia ya Qur’ani
IQNA - Kongamano lililopewa jina la "Hadhi ya Qur'ani Tukufu katika Afrika ya Sasa" lilifanyika katika Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu Ijumaa usiku.
Habari ID: 3478561 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kuna maandishi mengi ya Qur'ani Tukufu yanayohifadhiwa kwenye Maktaba ya Astan Quds Razavi mjini Mashhad, nchini Iran, ukiwemo Mus'haf Mashhad ambao umetajwa ni nakala kamili zaidi katika maandishi ya Kikufi ya Hijaz.
Habari ID: 3478554 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalizinduliwa rasmi katika hafla ya Jumatano jioni, Machi 20.
Habari ID: 3478552 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/21