iqna

IQNA

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Siku ya Kimataifa ya Quds itaadhimishwa nchini Iran na pia Swala ya Idul FItr itaswaliwa kwa kuzingatia kanuni za afya kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472770    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/16

TEHRAN (IQNA) – Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds ya mwaka huu yanatazamiwa kufanyika katika ukumbi wa Instagram na mitandao mingine ya kijamii nchini Afrika Kusini, kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3472758    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/12

TEHRAN (IQNA) – Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) mwaka huu itaadhimishwa kwa njia ya intaneti kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa corona.
Habari ID: 3472710    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/27

Sayyed Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani mpango wa Rais Trump wa Marekani wa kile anachodai kuwa 'amani Mashariki ya Kati'.
Habari ID: 3471980    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/01

TEHRAN (IQNA) – Mamillioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo wametangaza azma yao ya kuendelea kuunga mkono ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3471978    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/31

TEHRAN (IQNA) – Waislamu na wasiokuwa Waislamu kote duniani wanajitayarisha kudhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) kwa lengo la kutangaza kufungamana kwao na malengo ya ukombozi wa ardhi za Palestina ambazo zinakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471971    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/25

TEHRAN (IQNA)- Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem) yamefanyika leo kote duniani kwa lengo la kuunga mkono ukombozi wa Palestina na kulaani utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3471547    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/08

TEHRAN (IQNA) Waislamu na watetezi wa haki Tanzania na Kenya wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471033    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/24

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa yenye umuhimu mkubwa.
Habari ID: 3471030    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/22

TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya watu kote duniani wanatazamiwa kujitokeza kwa wingi kwa munasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo inafanyika Ijumaa kwa lengo la kuwaunga mkono Wapalestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471029    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/21

Sayyid Nasrullah:
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa lengo la kutangazwa Siku ya Kimataifa ya Quds ni kubakisha hai kumbukumbu ya Quds tukufu na kuwafanya Waislamu wasisahau eneo na msikiti huo mtakatifu.
Habari ID: 3470427    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02

Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran amesema Siku ya Kimataifa ya Quds ni hatua kubwa kupambana na uistikbari na adui Mzayuni aambaye ndiye adui mkuu wa Uislamu.
Habari ID: 3470426    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/01

Ijumaa ya mwisho ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kalenda ya matukio ya dunia, imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470425    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/30

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Waislamu kote duniani watajitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kwa lengo la kuwaunga mkono Wapalestina wanaodhulimiwa.
Habari ID: 3470424    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/30

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na amewataka Waislamu hususan wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya siku hiyo Ijumaa wiki hii
Habari ID: 3470423    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29

Seyed Hossein Naqavi
Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470422    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29

Kamandi ya Majeshi yote ya Iran imetoa wito kwa wote katika ulimwengu wa Kiislamu kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa hii.
Habari ID: 3470419    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28

Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Quds limepangwa kufanyika katika Ijumaa y Mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dakar, Senegal kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470401    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20