Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /13
TEHRAN (IQNA) – Tafsir ya Surabadi ni tafsiri ya Qur'ani Tukufu iliyoandikuwa na mwanachuoni wa Kisunni Aboubakr Atiq ibn Muhammad Heravi Nishaburi, anayejulikana kama Surabadi au Suriyani.
Habari ID: 3476347 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/02