iqna

IQNA

Ustawi wa Hija
IQNA - Saudi Arabia imezindua mipango ya kuunda mfumo wa magari yanayotumia nyaya angani (cable cars) ili kuboresha ufikiaji wa Pango la Hira katika Jabal Al Noor, Makka, na mradi huo unatarajiwa kukamilika ifikapo 2025.
Habari ID: 3479299    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19

Wanawake Saudia
TEHRAN (IQNA) – Wanawake wameruhusiwa kuendesha treni zinazosafiri kati ya miji mitakatifu ya Makka na Madina nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3476350    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03