Taarifa ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kanani amelaani vikali kitendo cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kilichofanywa nchini Denmark.
Habari ID: 3476875 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/16
Ugaidi wa Marekani
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali jinai ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji wa Homs nchini Syria na kusema: "Utawala wa Marekani unafuatilia sera za undumakuwili katika masuala ya kimataifa ikiwa ni pamoja na mapambano dhidi ya ugaidi."
Habari ID: 3476586 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/19
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejiunga na ulimwengu wa Kiislamu katika kulaani vikali kitendo cha kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Sweden (Usiwidi).
Habari ID: 3476444 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/22