Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa idara ya uhusiano wa kimataifa katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) anasema kushindwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katika kushughulikia jinai iliyotendwa hivi karibuni na utawala haramu wa Israel katika eneo la Huwara ni jambo ambalo litaupa kiburi utawala huo kuendeleza jinai zake.
Habari ID: 3476650 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03