Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /34
TEHRAN (IQNA) – Miongoni mwa Mitume wa Mwenyezi Mungu, wachache wanaaminika kuwa walibaki hai na hawakupata uzoefu wa kifo. Miongoni mwao ni Nabii Ilyas (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ambaye alimuomba Mwenyezi Mungu amjaalie kifo baada ya watu wake kumuasi, lakini Mwenyezi Mungu alimlipa ujira mwema kwa kumuweka hai mbinguni.
Habari ID: 3476690 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/11