IQNA – Qari mashuhuri wa IraniYunes Shahmoradi alisoma Surah An-Nasr ya Qur'ani Tukufu katika hafla moja ya mwezi huu wa Oktoba 2024, lililohudhuriwa pia na vijana wengine Wairani wasomaji Qur'ani
Habari ID: 3479613 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/18
Mashidano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Ifuatayo ni qiraa ya Qari Yunes Shahmoradi kutoka Iran ambaye aliibuka mshindi katika toleo la pili la Shindano la Kimataifa la Qur’ani Tukufu la Otr Elkalam nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3476838 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/09