iqna

IQNA

Mawaidha
IQNA – Wafasiri wa Qur’ani Tukufu wanazingatia Ajal mbili (wakati wa kufa) kwa wanadamu kwa kuzingatia Aya ya 2 ya Surah Al-Anaam ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3479737    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11

Mawaidha
TEHRAN (IQNA) – Hofu ya wakati ambapo malaika wa kifo atakapokuja inaweza kutusaidia kupata amani na kuwa tayari kwa ulimwengu ujao.
Habari ID: 3476854    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/12

Waandamanaji wamejitokezwa kwa wingi nchini Saudi Arabia katika Mkoa wa Mashariki kubainisha hasira zao kufuatia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya juu ya nchini humo iliyotoa hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni maarufu wa Kishia Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Habari ID: 3447680    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/13

Wanaharakati wameandamana tena nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London kupinga hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama kuu dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Sheikh Nimr Baqir An-Nimr.
Habari ID: 3415411    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/30

Mahakama moja nchini Misri imewahukumu kifungo hafifu cha miaka 14 jela watu 23 waliokuwa wanatuhumiwa kwa kutekeleza mauaji dhidi ya Waislamu wanne wa Kishia hapo mwezi Juni mwaka 2013 nchini humo.
Habari ID: 3314097    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/14

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani hukumu ya kifo dhidi ya rais wa zamani wa Misri Mohammad Morsi na kusema kesi hiyo haikuzingatia taratibu za mahakama.
Habari ID: 3304307    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/17

Katika sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameionya Saudia Arabia kuhusiana na hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Kishia nchini humo Ayatullah Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Habari ID: 1463465    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/25