Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Katika hali ambayo mgogoro wa Sudan pamoja na vita vinaendelea kushuhudiwa, utawala haramu wa Israel umewaalika majerali mahasimu wa Sudan kwenda Tel Aviv kwa ajili ya upatanishi.
Habari ID: 3476919 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/27
Matukio ya Sudan
TEHRAN (IQNA)- Mashambulizi ya mara kwa mara yalirindima katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum hata baada ya pande mbili hasimu kutangaza kusitisha mapigano
Habari ID: 3476903 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/22