Umoja wa Mataifa umeulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kubomoa nyumba za Wapalestina katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi na kusema kuwa, kitendo hicho ni ukiukaji wa haki za kimsingi kabisa za binadamu.
Habari ID: 2615266 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/05