Kijana wa Mwislamu anayejulikana kwa jina la Lassan Bathily amekuwa shujaa nchini Ufaransa baada ya kuwaokoa wanunuzi Mayahudi wakati watu wenye silaha walipolivamia jengo la biashara ya Hyper Cacher mjini Paris siku chache zilizopita.
Habari ID: 2706293 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/13