Bi.Samantha Elauf aliyenyimwa kazi na shirika la Abercrombie & Fitch nchini Marekani kwa sababu alivaa vazi la staha la Hijabu wakati wa mahojiano ya kutafuta kazi sasa amelipwa fidia kufuatia amri ya mahakama.
Habari ID: 3334845 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25