Nchini Mali watu wasiopungua 13 wakiwemo wanajeshi watano wa serikali wameuawa Ijumaa na Jumamosi katika hujuma dhidi ya hoteli moja eneo la kati mwa nchi hiyo huku raia kadhaa wa kigeni wakichukuliwa mateka.
Habari ID: 3340139 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08