Zaidi ya maulamaa na maimamu 300 wa Kiislamu Somalia, Kenya, Tanzania, Ethiopia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametangaza Fatwa ya kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab na itikadi yenye misimamo mikali ya Uwahhabi.
Habari ID: 3353847 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/30