Tarehe 24 Septemba katika siku kuu ya Idul Adha wakati zilipoenea habari za kukanyagana na kuzimia baadhi ya Mahujaji huko Mina, hakuna aliyedhani au kuamini kuwa tukio hilo lingegeuka na kuwa maafa makubwa na ya kuogofya ambayo yameshuhudiwa.
Habari ID: 3381643 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/05