Arbaeen na Muqawama
IQNA - Kundi la wasomaji Qur’ani (maqari) wa Kiirani walioenda Iraq wakati wa msimu huu wa Arbaeen wameshiriki katika vikao vya kusoma Qur'ani kwenye kaburi la Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, naibu mkuu wa zamani wa VJeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq (PMU).
Habari ID: 3479310 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21
Jinai za Marekani
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed Shia' al-Sudani amemuenzi kamanda wa ngazi ya juu wa kupambana na ugaidi wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na mwenzake wa Iraq, Abu Mahdi al-Muhandis, waliouawa katika shambulio la kigaidi la ndege zisizo na rubani za Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad miaka mitatu iliyopita, na kusema kuwa mauaji hayi yalikuwa "shambulio kali" dhidi ya uhuru na mamlaka ya kujitawala Iraq.
Habari ID: 3476365 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06
Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la Kwanza wa Kimataifa wa Fikra za Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani limemalizika hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476363 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/06