iqna

IQNA

Ifahamu Qur'ani Tukufu /15
TEHRAN (IQNA) – Katika Qur'ani Tukufu Aya ya 3 ya Sura Al Imran, Mwenyezi Mungu anasema ameteremsha Qur'ani Tukufu ambayo inasadikisha vitabu kabla yake ambavyo ni Taurati na Injili
Habari ID: 3477303    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/18

Ifahamu Qur'ani Tukufu /14
TEHRAN (IQNA) - Tangu mwanzo wa historia, mabilioni ya matamshi yamekuwa yakitolewa na wanafikra, wanazuoni na wazungumzaji mashuhuri, lakini ni neno la Qur’ani Tukufu ambalo lina sifa ambazo Mwenyezi Mungu anazitaja kuwa ni "Neno Zito".
Habari ID: 3477296    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/17

Ifahamu Qur'ani Tukufu /13
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu, katika Aya ya 2 ya Surah Al-Baqarah, anaitaja Qur'ani Tukufu kuwa ni kitabu kisicho na shaka ndani yake. Je, kuna uhakika gani juu ya Qur'ani Tukufu ambayo aya hii inaizungumzia?
Habari ID: 3477255    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/08

Ifahamu Qur'ani Tukufu /12
TEHRAN (IQNA) – Moja ya sifa ambazo Mwenyezi Mungu anaielezea Qur'ani Tukufu ni kwamba imeteremshwa kwa Kiarabu. Je, ni nini fadhila ya Quran kuwa katika lugha ya Kiarabu?
Habari ID: 3477237    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/04

Ifahamu Qur'ani Tukufu/ 11
TEHRAN (IQNA)- Moja ya sifa zinazotumika kuitaja Qur'ani Tukufu ni ' imebarikiwa’. Sifa hii tukufu inamaanisha nini na kwa nini Mwenyezi Mungu anakielezea Kitabu Hiki Kitakatifu kama kilichobarikiwa?
Habari ID: 3477224    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/02

Ifahamu Qur'ani Tukufu/5
Kwa mujibu wa aya katika Qur'ani Tukufu, Kitabu kitukufu kilitumwa na Mwenyezi Mungu ili kuwaamsha watu na maana ya mwamko huu inapatikana katika aya nyingine.
Habari ID: 3477128    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/10

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 1
Tunapofikiria kitabu ni nini, maswali ya kwanza yanayokuja kichwani ni nani amekiandika na ni cha nani?
Habari ID: 3477109    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/06

Ifahamu Qur'ani Tukufu / 4
Mwenyezi Mungu anaielezea Qur'ani Tukufu, miongoni mwa mambo mengine, kama kitabu chenye heshima na kitukufu.
Habari ID: 3477108    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/06

Ifahamu Qur'ani Tukufu /3
TEHRAN (IQNA) - Wengine wanajaribu kuweka mipaka ya mwongozo wa Qur'an Tukufu kwenye uwanja fulani katika hali ambayo kuna vipengele mbalimbali vya mwongozo vinavyoonekana katika kitabu hiki cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477070    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30

Ifahamu Qur'ani Tukufu /2
TEHRAN (IQNA) - Mwanadamu daima amekabiliwa na aina mbalimbali za magonjwa, yakiwemo yale yanayohusiana na akili na mawazo. Mwenyezi Mungu, ambaye ni Muumba wa mwanadamu ametuma agizo ambalo huponya magonjwa yake ya kiakili na kiakili.
Habari ID: 3477064    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/29